Dola la Kitara

Afrika ya Mashariki leo.

Dola la Kitara (maana: Dola la Mwanga; jina lingine: Bunyoro-Kitara) ni dola lililostawi Afrika ya Mashariki hasa katika karne ya 13 hadi karne ya 16.

Dola la Kitara lilianza kama ufalme mdogo wa Bakitara katika karne ya 13.

Katika karne ya 16 dola la Kitara lilienea sehemu za Tanzania, Uganda, Kongo, Burundi, Rwanda, Zambia na Malawi, halafu lilisambaratika.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search